YANGA KUIKABILI SIMBA SC KWENYE FAINALI YA CRDB BANK FEDERATION CUP DHIDI YA AZAM FC

Mashabiki wa soka nchini wajiandae kwa burudani ya aina yake visiwani Zanzibar, Kauli ya hivi punde ya Meneja wa Habari wa Yanga, ALI KAMWE, imethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Simba SC na Azam FC haitakuwa ya kawaida hata kidogo.


 Baada ya yanga kukwama kwenye nusu  fainali ya CRDB,  ali kamwe amesimama na kuzungumza kuwa "sisi yanga tutaisapoti azam fc kwenye fainali ya CRDB huko ZANZIBAR PEMBA kwenye uwanja  wa Gombani,  kuelekea fainali hiyo mashabiki wa yanga wataungana na azam fc kuhakikisha azam fc inabeba kombe.

Utani wa jadi bado unazidi kukua siku hadi siku na sasa upinza huu umegeukia kwa mashabiki, tunategemea kuja kutazama mchezo mzuri na wenye burudani ukiwa na pande mbili za ushindani , huku timu ya azam Fc vs simba sc  na kw mashabiki ni yanga wakiungana na azam fc  vs mashabiki wa Simba SC. 

Hali hii kwa timu ya simba inapelekea kusongwa na seheme kubwa ya upinzani kwenye fainali, ikiwata simba kujiandaa kisaikolojia kwa sababu wanakutana na mechi ngumu mbili ikiwa mechi ya uwanjani na mechi nje ya uwanja.

Kwa wewe mashabiki na mpenzi mtazaji hali hii itaisaidai azam kuwa bingwa wa mashindano hayo ya CRDB au watawaachia simba ?
Na kwa upande wa simba kwa vitisho hivyo vya wapinzani wao wa jadi itapelekea kushindwa kuchukua kombe ? Shusha comment yako hapo chini 👇 👇👇




#CRDBBankFederationCup #SimbaSC #AzamFC #YangaSC #AliKamwe #SokaLaBongo #UwanjaWaGombani #Zanzibar #NguvuMoja #HabariZaMichezo #Ligikuu

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA ALPHONCE MSANGA (MABULA) YA SOKA: Kutoka kwenye maisha ya mtaani hadi kuwa mchezaji bora wa kimataifa

Wasifu wa Albert Kangwanda Jr: Nyota Mpya wa Kimataifa Anayetamba Ndani ya Kikosi cha Yanga SC

Wachezaji bora kwenye ligi kuu ya NBC Premier League

RIPOTI KUTOKA KAMBINI: Uchambuzi wa Kikosi cha Taifa Stars na Silaha Mpya Kuelekea AFCON 2027

Fabrizio Romano Aitambulisha Yanga Duniani, Bodi ya Ligi Yaibeba Simba SC!

Rungu la TPLB: Maafisa wa Singida Black Stars Watandikwa Faini ya Tsh Milioni 20!

Mtanange wa Ligi Kuu ya NBC: Uchambuzi wa Kina wa Mechi za Kukata na Shoka Kesho

Mwelekeo wa Ligi Kuu ya NBC: Rejesho la Aziz Ki, Changamoto ya Majeraha Simba SC na Shinikizo Ndani ya Azam FC

WASIFU KAMILI: Fahamu Nguvu na Udhaifu wa Gaborone United, Wapinzani wa Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika!

Ratiba Kamili na Utabiri wa Kimbinu wa Michezo ya Ufunguzi Ligi Kuu ya NBC Wikiendi Hii.