LIONEL MESSI afanya Maajabu Tena! Avunja Rekodi ya Dunia Kwenye Mechi ya Leo na Kuongoza Chati za FIFA

💯Mashabiki wamezidi tena kujionea leo Messi kuandika historia mpya kwenye ulimwengu wa soka leo baada ya kuiongoza Argentina kupata ushindi mnono wa magoli 2-0 dhidi ya Austria katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026.

Katika mechi hiyo kali iliyopigwa leo Juni 22, 2026, nahodha huyo wa Argentina amefunga mabao yote mawili na kuihakikishia timu yake nafasi ya kutinga hatua ya 32 bora.

⚽️Messi baada ya kukosa penalti mwanzoni mwa mchezo, alirejea kwa kishindo na kufunga magoli mawili, goli la kwanza dakiki ya 38 na goli la pili dakika ya 90+4 nakuipatia timu yake ushindi🏅 mnono. 

Messi amevunja record ya mastar wa kubwa waliopita kwenye KOMBE LA DUNIA baada ya kufunga magoli leo mawili nakufikisha magoli 18 toka yameanzishwa mashindano ya KOMBE LA DUNIA.

Takwimu za Messi baada ya mchezo huu kumalizika kwa Sasa Kufuatia kiwango hicho safi alichoonyesha leo na hat-trick aliyopiga kwenye mechi iliyopita dhidi ya Algeria, nafasi za Lionel Messi zimepanda kwa kasi, Lionel Messi kwa sasa anashika Namba 1 kama mchezaji mwenye kiwango bora zaidi kutokana na mashindano haya ya KOMBE LA DUNIA

Ushindi wa leo unaiweka 🆙️Argentina 🇦🇷 kileleni mwa msimamo ikiwa na alama 6.

Je, unaona Messi ataweza kuiongoza Argentina kutetea ubingwa huu wa dunia? Tuandikie maoni yako hapa chini!👇👇👇

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA ALPHONCE MSANGA (MABULA) YA SOKA: Kutoka kwenye maisha ya mtaani hadi kuwa mchezaji bora wa kimataifa

Wasifu wa Albert Kangwanda Jr: Nyota Mpya wa Kimataifa Anayetamba Ndani ya Kikosi cha Yanga SC

Wachezaji bora kwenye ligi kuu ya NBC Premier League

RIPOTI KUTOKA KAMBINI: Uchambuzi wa Kikosi cha Taifa Stars na Silaha Mpya Kuelekea AFCON 2027

Fabrizio Romano Aitambulisha Yanga Duniani, Bodi ya Ligi Yaibeba Simba SC!

Rungu la TPLB: Maafisa wa Singida Black Stars Watandikwa Faini ya Tsh Milioni 20!

Mtanange wa Ligi Kuu ya NBC: Uchambuzi wa Kina wa Mechi za Kukata na Shoka Kesho

Mwelekeo wa Ligi Kuu ya NBC: Rejesho la Aziz Ki, Changamoto ya Majeraha Simba SC na Shinikizo Ndani ya Azam FC

WASIFU KAMILI: Fahamu Nguvu na Udhaifu wa Gaborone United, Wapinzani wa Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika!

Ratiba Kamili na Utabiri wa Kimbinu wa Michezo ya Ufunguzi Ligi Kuu ya NBC Wikiendi Hii.