Burudani inarejea, MZIZIMA DERBY

Ile mechi tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu sasa imewadia. Inawakutanisha wababe wa soka Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla. Hapa tunawazungumzia YOUNG AFRICANS wakiwakaribisha AZAM FC. Mechi itapigwa kwenye uwanja wa KMC COMPLEX uliopo Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mchezo huu utapigwa siku ya Jumatano 24 June 2026, majira ya saa10:00 jioni.


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA ALPHONCE MSANGA (MABULA) YA SOKA: Kutoka kwenye maisha ya mtaani hadi kuwa mchezaji bora wa kimataifa

Wasifu wa Albert Kangwanda Jr: Nyota Mpya wa Kimataifa Anayetamba Ndani ya Kikosi cha Yanga SC

Wachezaji bora kwenye ligi kuu ya NBC Premier League

RIPOTI KUTOKA KAMBINI: Uchambuzi wa Kikosi cha Taifa Stars na Silaha Mpya Kuelekea AFCON 2027

Fabrizio Romano Aitambulisha Yanga Duniani, Bodi ya Ligi Yaibeba Simba SC!

Rungu la TPLB: Maafisa wa Singida Black Stars Watandikwa Faini ya Tsh Milioni 20!

Mtanange wa Ligi Kuu ya NBC: Uchambuzi wa Kina wa Mechi za Kukata na Shoka Kesho

Mwelekeo wa Ligi Kuu ya NBC: Rejesho la Aziz Ki, Changamoto ya Majeraha Simba SC na Shinikizo Ndani ya Azam FC

WASIFU KAMILI: Fahamu Nguvu na Udhaifu wa Gaborone United, Wapinzani wa Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika!

Ratiba Kamili na Utabiri wa Kimbinu wa Michezo ya Ufunguzi Ligi Kuu ya NBC Wikiendi Hii.