🏆FAINALI IMEWIVA 🔥MOTO WA KICHAPO NI ULE ULE Azam Fc yatinga fainali ya CRDB BANK FEDERATION CUP kuivaa Simba Sc
Nusu fainali ya CRDB BANK FEDERATION CUP imetamatika kule Mwanza katika viwanja vya Ccm Kirumba baada ya AZAM FC kuibuka na ushind wa goli 3 kwa 2 dhidi ya magwiji wa jangwani YOUNG AFRICANS.
AZAM FC imetanguliza salamu kwa wekundu wa msimbazi wakisema kuwa kombe la CRDB BANK FEDERATION CUP🏆, linaenda Chamazi.

Comments
Post a Comment
Maoni yako ni muhimu kwetu! Unafikiri nini kuhusu mchezo au tetesi hii ya leo? Shusha mchango wako hapa chini. Kumbuka: Lugha ya staha na heshima kwa wadau wote wa soka inazingatiwa.