AZAM FC WA MOTO NUSU FAINALI YA CRDB BANK FEDERATION CUP

🔥AZAM FC wapo teyari kila idara zote ukianza na benchi la ufundi, wachezaji kwa ujumla wote wamejiandaa kuhakikisha wanashinda🆙️ na kusonga mbele kuelekea fainali ya CRDB BANK FEDERATION CUP. 
Azam Fc wamekuja idadi isiyopungua 45 kuonesha kuwa wanania na wanamalengo ya kuvuka hatua hiyo na kuelekea fainali. 
    Tumejiandaa, tupo tayari  na  tuna                                           hamu  na   yanga



Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA ALPHONCE MSANGA (MABULA) YA SOKA: Kutoka kwenye maisha ya mtaani hadi kuwa mchezaji bora wa kimataifa

Rungu la TPLB: Maafisa wa Singida Black Stars Watandikwa Faini ya Tsh Milioni 20!

WASIFU KAMILI: Fahamu Nguvu na Udhaifu wa Gaborone United, Wapinzani wa Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika!

RIPOTI KUTOKA KAMBINI: Uchambuzi wa Kikosi cha Taifa Stars na Silaha Mpya Kuelekea AFCON 2027

Wasifu wa Albert Kangwanda Jr: Nyota Mpya wa Kimataifa Anayetamba Ndani ya Kikosi cha Yanga SC

MNYUKANO WA LIGI KUU NBC: Uchambuzi wa kina wa mechi za Kukata na Shoka Kati ya TRA United vs Mbeya City na Dodoma Jiji dhidi ya Mashujaa FC

Ramani Mpya ya CAF: Jinsi Ushindani wa NBC Premier League Unavyobeba Hatamu za Kimataifa Wiki Hii.

Fabrizio Romano Aitambulisha Yanga Duniani, Bodi ya Ligi Yaibeba Simba SC!

BURUDANI YA MABAO: Singida Black Stars Yaondoka na Pointi Tatu Muhimu Dhidi ya Namungo FC Airtel Stadium

Vita ya Mbinu Ligi Kuu: Uchambuzi wa Makocha wa Simba, Yanga, Azam na Singida Black Stars