NUSU FAINALI YA CRDB BANK FEDERATION CUP.
MZIZIMA DERBY. Nusu fainali ya CRDB BANK FEDERATION CUP, ikiwakutanisha vijana wa baba mmoja na mama mmoja. Yaani hawa tunawazungumzia vinala wa soka ambao wote wanatoka sehemu moja, Dar es Salaam. AZAM FC vs YOUNG AFRICANS, Yaani huku Feisal Salum "Feitoto" kule Allan Okello!. Je, nani atatangulizika karata yake fainali?


Comments
Post a Comment
Maoni yako ni muhimu kwetu! Unafikiri nini kuhusu mchezo au tetesi hii ya leo? Shusha mchango wako hapa chini. Kumbuka: Lugha ya staha na heshima kwa wadau wote wa soka inazingatiwa.